Awamu ya kwanza ya mchakato wakutafuta maeejay imeshapita awamu ya pili ni jumamosi hii pale new maisha club dar kama we ni deejay mzuri haujachelewa kama una muelekeo wa kuwa dj usikose kuja jumamosi hii kwa usahili na ukipatanafasi yakuingia kwenye waliochaguliwa utapata FURSA ya kujifunza udeejay na madeejays kutoka kwenya utaingia darasani kwa muda wa mwenzi mmoja ukitoka hapo utakuwa umeshaiva na kupata ajira katika club zetu za new maisha club,chakarika kijana.
CONTINUE READING

No comments:
Post a Comment