![]() |
Kufuatia kuripotiwa kwa habari "kali" sana iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!"
leo kuhusu mwanadada Irene uwoya na Msanii wa kizazi kipya Diamond
platnumz leo na mtandao wa Global publishers, hatimaye Irene Uwoya
alichukua dakika kadhaa kuandika hichi alichokiandika hapa chini....
“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamin mtu ndio
anageuka...kwanin ukiwa muwaz watu wanakuchukulia vbaya? Leo nimeumia
sanaaa kuliko skuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki
yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...au najiuliza siruhusiwi kuwa na
rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me
better”
MCHUNGUZI wa mambo anasema maneno hayo ni
kutokana na kile alichokiona kama ni usaliti wa namna fulani toka kwa
rafiki yake wa karibu (Jina kapuni) kuamua kumuanika hadharani mdada
huyo wa bongo movies
Kama hukupata nafasi ya kuisona habari hiyo toka
kwenye mtandao wa global publishers basi isome hapa kama tulivyoinukuu
toka mtandao huo.... |
![]() |
""SIRI nje! Lile skendo la Rais wa Wasafi Bongo, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’, kudaiwa kulala na mwigizaji Irene Uwoya ambaye ni
mke wa ndoa wa mwanasoka wa Rwanda,
Hamad Ndikumana ‘Kataut’ limevuja.
KISA KAMILI
Huku akijua kabisa kuwa ataibua zogo kwa kuwa Uwoya ni mke wa
ndoa wa mtu, kwa mara ya kwanza, Diamond ameamua kuanika kisa
kilichomfanya kujiweka kwa muda kwa Uwoya.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika cha gazeti hili,
kilichomfanya Diamond kufikia hatua ya kumtongoza na kutoka naye
kimapenzi, ni kitendo cha Uwoya kutoa maneno ya kumponda huku akionesha
waziwazi hali ya kumchukia kila walipokutana.
|



No comments:
Post a Comment