UMESIKIA KUHUSU BOB JUNIOR KUPIGWA KARIAKOO,UKWELI NI HUU HAPA
Bob
Junior ameshare picha hizi kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika:
Kwa Dizaini hii lazima nirudi kwetu K………..Aaaaah Maisha Haya Ya
Bongo?,,,,COMING SOON Huu Mzigo…1 Love. Bob Junior akiwa location kushoot video yake mpyaAmeandika: Ilikuwa hatari sana ni sehemu ngumu sana hapo kufanya video si mchezo
No comments:
Post a Comment