Mpya kutoka TID ni kuwa siku za hivi karibuni alipata mualiko na kufanya mahojiano katika kipindi cha Sporah Show ambacho huandaliwa na kurushwa kutoka nchini Uingereza.
Hizi ni baadhi ya picha zinazomuonyesha mwanamuziki TID alivyokuwa akifanyiwa mahojiano hayo na mtangazaji Sporah….
No comments:
Post a Comment