Taarifa zilizotufikia zinasema kuwa ,
mwili wa mpendwa wetu,marehemu Albert Mangwair
utaletwa nchini week ijayo siku ya jumanne,awali ililipotiwa kuwa ungeletwa leo jumamosi ama kesho siku ya jumapili,
ili
kufanikisha talatibu zote za mazishi na hata kinachobaki kiwe faraja kwa
mama mzazi wa Ngwair aliye kwenye kipindi kigumu cha kumpoteza mwanae
kipenzi
unaweza kuchangia kupitia Tigo pesa kwa watumiaji
wa Mtandao wa Tigo au M-Pesa kwa
watumiaji wa mtandao wa Vodacom..
Unaweza kutuma Kupitia
Namba ya kaka
wa Marehemu Kenneth Mangwair
kupitia namba 0717553905 kwa watumiaji
wa Tigo Pesa
na kwa M-Pesa
unaweza tuma mchango wako kupitia
namba 0754967738.....
au unaweza
Kuchangia kwa kudeposit kupitia
Benki ya NMB
JINA LA MWENYE A/C NI KENNETH
MANGWEhaA 2012505840....
No comments:
Post a Comment