Tuesday, 4 June 2013

KIBAKA VIBAKA NAO!! KIBAKA ANASWA WAKATI MWILI WA NGWEA UKIWASILI NCHINI!

Photo: KIBAKA NAYE HAKUKOSEKANA HAPA AIRPORT AKIJARIBU KUIBIA WATU.

ASKARI POLISI WAMEMUOKOA NA KUMPELEKA LUPANGO.

NDUGU ZANGU WATU NI WENGI NA PURUKUSHANI NI KUBWA SANA...VIBAKA WANATUMIA MWANYA HUU KUWACHOMOLEA WATU
KIBAKA NAYE HAKUKOSEKANA HAPA AIRPORT AKIJARIBU KUIBIA WATU.
ASKARI POLISI WAMEMUOKOA NA KUMPELEKA LUPANGO.
NDUGU ZANGU WATU NI WENGI NA PURUKUSHANI NI KUBWA SANA…VIBAKA WANATUMIA MWANYA HUU KUWACHOMOLEA WATU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...