Habari hizi zilisambaa mapema na kwa haraka mno kuwa kanisa lalipuliwa huko Kunduchi Dar es salaam. Wengine walisema ni (KKKT) wengine wanasema ni Catholic. Ukweli nikwamba mapolisi wali kuwa wakikabiliana na majambazi mitaa ile na katika mapambano yao waliamua kurusha bomu la machozi ilikuwatawanya waalifu waliokua wakijificha kwenyejengo fulani. Ule mlio wa bomu la machozi uliwashtua watu sana nakuhisi moja ya makanisa yaliyo karibu na eneo lile limelipuliwa. Huo ndio mwanzo wa uvumi....
Juudi za mapolisi, waumini na wananchi binafsi zilisaidia kukamata baadhi ya waalifu hao japo wengine walikimbia. Umri wa waalifu hai ulikadiriwa kua miaka 13 hadi 25,. Endelea kuwanasi kwa habari nyingine mpya,...

No comments:
Post a Comment