KUA WA KWANZA KUSIKILIZA NA KUDOWNLOAD WIMBO MPYA WA MB DOG - MA DIGINA
Baada ya ukimya wa muda
mrefu msanii aliewahi kushika chati mbali mbali nchini kupitia hit songs
zake kama 'Si Uliniambia', na 'Latifah' Mb Dogg amevunja ukimya kwa
kuachia single mpya 'MA DIGINA'. Isikilize/download hapo chini
No comments:
Post a Comment