HABARI NJEMA KWA WASANII,IKIWA NI JANA TANGU MBUNGE ZITTO KABWE KUTOA PENDEKEZO LAKE BINAFSI KUHUSU KUZUIA UNYONYAJI DHIDI YA WASANII KATIKA BIASHARA YA MIITO
Waziri
wa Viwanda na Biashara DR ABDALLAH KIGODA ameagiza mabadiliko ya kanuni katika Sheria ya
Hakimiliki ili kuhakikisha kwamba Wasanii wa muziki hapa nchini wanapata
mapato stahiki katika biashara ya #RBT . Mirahaba katika biashara ya
miito ya simu na matangazo ya televisheni na radio Ni mapato muhimu
sana Kwa wasanii. Angalau sasa tunaona Mwanga. Tutaendelea kuishinikiza
serikali kulinda wasanii na Hakimiliki zao.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment