Ikiwa leo ni siku ya familia,hiyo ni picha ya familia nzima ya Mwigizaji
maarufu Angeline Jolie ambaye toka juzi,uamuzi wake wakutangaza kukatwa
matiti ili kuzuia saratani umewashtua wengi.Akiwa na watoto wake 6,3
aliozaa na mume wake Brad Pitt,na wa3 amewaasili.Inafurahisha baada ya
Angeline Jolie kusema kuwa mume wake alikuwa nae kipindi chote cha
upasuaji.
Heri ya siku ya familia!
Mmmh! Hii ni ajabu xana Realy sjapenda! Cauz ni moja kati ya acters niwapendao.
ReplyDelete