Akiwa huko msanii huyo alipata nafasi ya kutembelea kipindi cha The Sporah Show akifanyiwa mahojiano na tukafanikiwa kuwaletea baadhi ya picha wakati wakiwa kwenye kipindi hicho ...
Leo tumeinasa video ambayo inamuonyesha msanii Diamond akitumbuiza katika kipindi hicho ...
Check video inayomuonyesha Diamond akitumbuiza NATAKA KULEWA kwenye kipindi hicho ...

No comments:
Post a Comment