Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA
imefanyika katika nchi mbili tofauti ambapo ni TANZANIA na SOUTH AFRICA
kwa TANZANIA itafanyika magwepande wilaya ya pwani hivi karibuni
kumalizia vipande vya video hiyo na SOUTH AFRICA imeshafanyika katika
mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video inayoonyesha mazingira halisi ya
wimbo huo kwa kila eneo, mastar mbalimbali wataonekana katika video
hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na
wengine kibao.Akiongea manager wa SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman
hk.alisema video hiyo kwa sasa inafanywa na kampuni ya EMAGE ARRAY chini
ya msimamizi mahiri na machachari ABBY KAZI.
Siku ya jumanne ijayo ya tarehe 14
tunategemea kwenda magwepande kumalizia vipande vya VIDEO hiyo ya wimbo
unaotikisa jiji kwa sasa wa majanga uliotengenezwa katika studio za FIRE
MUSIC chini ya producer mkali MORE FIRE.
Kaa mkao wa kula moja kati ya video za kiafrica zitakazovuka boda majanga ya snura ndio habari ya mjini.









No comments:
Post a Comment