Saturday, 11 May 2013

ALICHOKISEMA FID Q, BAADA YA NIKI MBISHI KUTOA WIMBO UNAOKWENDA KWA JINA LA NEY WA MITEGO. SOMA HAPA

Rapper mkali kutoka MWANZA, FID Q ameonekana kuutazama wimbo mpya wa NIKKI MBISHI kama moja ya vitu vinavyoweza kupekea BEEF kubwa kati ya msanii huyo na NEY WA MITEGO ...
FID Q aliyasema hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya kuulizwa swali kwenye program yake ya mara kwa mara mtandaoni humo ya #ASKFidQ kuhusiana na wimbo huo ...
Swali lilikuwa hivi: Nini mawazo yako juu ya nikki mbishi na his new track (ney wa mitego) ??
@FidQ akajibu, "Nisingependa kuona beef kati yao ..."
FID is one of the illest Hip-Hop emcees in TANZANIA na hilo halina ubishi, ni lipi ameliona katika mdundo huu wa HIP-HOP wa NIKKI MBISHI ?? BEEF kali kuibuka ??
Anyway, ngoja tuskilizie tuone ... Na kama hujausikia mdundo huo wa NIKKI MBISHI unaofahamika kama NEY WA MITEGO
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...