Tuesday, 6 May 2014

Shikamoo Mkorogo Na Camera 360..!! Mtazame Dvj Penny Alivyokuwa Kabla Hajaanza Kutumia Mkorogo, Alipokuwa Mpenzi Wa Dunga

Katika Picha Hizi Hpo Chini zinamuonyesha aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz Dvj Penny alivyokuwa miaka hiyo kabla mkorogo na Camera 360 hazijaingia tz, Katika picha hizo zinamuonyesha Dvj Penny akiwa amekaa kimahaba na producer wa muziki alijichukulia jina kubwa kutokana na kazi zake DUNGA, ambaye inasadikika alikuwa mpenzi wake miaka hiyo.
Akiwa na Dunga

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...