Wednesday, 8 January 2014

Picha Na Info, Baada Ya Miaka 5 Ashanti Anarudi Hivi.

 Baada ya matatizo kutokea na kuicheleweshwa kwa album yake mpaka kushindwa kutoka mwaka jana 
msanii aliyekuwa first lady wa Murder Inc Ashanti amesema album yake ya BraveHeart inatoka mwanzo wa 2014 na picha za 
promo zimeanza kusambazwa, alimwambia dj DJ Whoo Kid hivi karibuni kuwa amerikodi nyimbo 60 ndani ya miaka 5 ilikuja kuchagua zipi zinafaa kwenye album yake mpya.

Tayari wimbo wa kwanza aliomshirikisha Rick Ross Umetoka na anasema nyimbo zote zitapendeka na watu wa aina zote. "Its A Classic Rnb Album" Ashanti


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...