weed cookies |
- Bangi ina THC na CBD inayosaidia kuzuiya cancer (utafiti kamili uko hapa: Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News)
- Bangi inasaidia neurogenesisi - ukuaji wa brain cells (utafiti kamili uko hapa: Cannabinoids promote embryonic and adult hippocampus neurogenesis and produce anxiolytic- and antidepressant-like effects)
- Bangi inapunguza msongo wa mawazo, utafiti (Active Ingredient in Marijuana Kills Brain Cancer Cells - ABC News) umeonesha kwamba rate ya watu kujiuwa miongoni ya watumiaji wa bangi ni ndogo sana.
Faida za bangi si kwa wavutaji pekee, watu wasiovuta pia wanaweza kufaidika na mmea huu, kuna mamia ya bidhaa zinazotengenezwa kutokana na mmea huu;
Mbegu ya Bangi ni moja ya chakula chenye virutubisho vya aina nyingi sana. Mafuta yatokanayo na mbegu za bangi hayana rehemu, na pia yanaweza kutumika kama energy, pia yanaweza kutengenezwa mafuta ya nywele (hair food) na mafuta ya kujipakia.
Mmea huu ukihalalishwa Tanzania kwa hakika utakuwa na faida kubwa sana kiuchumi, kwani unamea vizuri sehem kubwa ya nchi yetu, hivyo tutaweza kuuza nje ORGANIC MARIJUANA kwa bei nzuri na kuinua vipato vya wananchi.
Sabuni |
Brownees |
mayonnaise |
Mafuta ya kupikia yanayotokana na bangi |
lawalawa |
Bibi akipenda moshi |
No comments:
Post a Comment