Monday, 6 January 2014

KATIKA ILE SKENDO YA LUCCI NA JOKATE KUTOKA KIMAPENZI..!! HUU NDIO MCHAPO MZIMA KUHUSU WAO..!!

Sehemu ya video ya wimbo wa "dada kaka" iliyozua utata kuhusu mahusiano ya wawili hawa..
Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. 

Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa  Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni”  Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter....

UMBEA TUPA KULE...SHEMEJI YETU NDIO HUYU


KATKA TIME KABISA ENEO LA TUKIO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...