Friday 3 January 2014

BAADA YA JACK CLIFF KUKAMATWA NA MADAWA HUKO CHINA, RAY C AMUOMBEA JACK CLIFF AFE KABISA. SOMA ALICHOKISEMA RAY C HAPA

j
Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.
1 
 Wewe tulia mi Na hasira maana najua walichonifanya Hawa wauzaji!?!niliingia kwenye madawa Na niliwapa kila Kitu Hawa wauzaji ili nipate unga maana tayari nilikuwa nimeshaathirika,hawakunionea huruma pamoja Na Aibu yote walichotaka wao ni pesa ili nipone ndio niheme!!!!!!nilipokuwa Na hela walinithamini ila nilipoishiwa walinilaza kwenye box Na arosto!!!niliwaomba hata kidogo ili nisiumwe but hawakunielewa ingawa nilishawapa mamilioni ya hela Na nyumba nikauza!!!!!!!sikia tu arosto na omba isiwahi kutokea kwa ndugu yako wala mtoto wako!!!!!!jinsi mama yangu alivyohangaika Na Mimi kumaninA huyu jacky afe tu mmbwa mkubwa!!!!na muuaji ndugu za watu wanalala barabarani mmpaka tunaimbwa teja wa mapenzi!!!!yani acha kabisa!!!wafe wanyongwe,mafirauni wenye dhambi kubwa mbele ya mungu!!!ktk jina la yesu!!!!Wanyongwe!!!!!!!Kill them!!!!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...