Tuesday, 7 May 2013

WAANDISHI WAPEWA MAFUNZO YA HAKI ZA BINADAMU DAR ES SAALAM

Balozi wa Jumuiya ya nchi za Ulaya, Rose Mwalongo wa kituo cha haki za binaadm na mwandishi Francis Godwini katikati wakijadili jambo na balozi huyo leo jijini Dar es salaam, muda mfupi baada ya balozi huyo kufungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wa habari yanayofadhiliwa na Jumuiya hiyo
LENGO LA SEMINA:Kuwapa uwezo waandishi wa habari kuandika kwa usahihi masuala za haki za binadamu pamoja na kutetea jamii kwa ujumla
Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya, akiagana na afisa habari wa kituo cha haki za binaadam, Rose Mwalongo mara baada ya kumaliza kufungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wahabari leo jijini Dar es salaam
Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa nchi za Ulaya, akiwa kwenye picha ya pamoja na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam, muda mfupi baada ya balozi huyo kufungua mafunzo hayo ya siku moja
Washiriki wa mafunzo ya haki za binaadam waandishi wa habari kushoto, Kasilda Mgeni na kulia ni Aziz Msuya kutoka Morogoro wakisikiliza kwa makini mada iliyokuwa ikitolewa na mwanasheria Harold Sungusia wa kituo hicho
Mwandishi wa RAIA MWEMA jijini Mbeya, Felix Mwakyembe kulia akisikiliza mada inayotolewa kwa makini
Waandishi wa habari wakichukua taarifa muhimu
Waandishi wa vyombo mbalimbali hapa Nchini wakifuatilia kwa makini mafunzo
Balozi wa Jumuiya ya Umoja wa ulaya akifungua mafunzo ya haki za binaadam kwa waandishi wa habari yanayofanyika leo jijini Dar es salaam, kushoto ni mwanasheria wa kituo cha haki za binaadam Harold Sungusia
DSCF9031
Mmiliki wa jamiiblog kulia Pamela Mollel akiwa na mwandishi wa gazeti la Nipashe Tanga Bw.Dege Masoli wakifatilia mafunzo kwa ukaribu
DSCF9029 DSCF9028
Muonekanao ndani ya semina ya waandishi wa habari kutoka mikoa mbalimbali hapa Nchini.

Credits: Pamela Mollell

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...