SOMA ALICHOKISEMA SNURA BAADA YA KIFO CHA NGWAIR HAPA
Habari za mchana wapendwa! kutokana na kifo cha msanii mwenzetu
ALBERT MANGWEA kilichotokea jana South Africa HATUTOKUWA NA SHOW YA
UZINDUZI WA VIDEO YA MAJANGA. mpaka hapo tutatangaza tena.mungu alaze
roho ya marehemu mahara pema peponi amin.
No comments:
Post a Comment