Friday, 9 May 2014

NIFANYAJE MAKALIO YANGU YASITINGISHIKE NIKIWA NATEMBEA? NAOMBENI USHAURI JAMANI!!

Nina mwili wa kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
 
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii. Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakinibado tatizo liko palepale. Nisaidieni

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...