Tazama picha hiyo hapo chini
Saturday, 25 January 2014
WASTARA ASHINDWA KUVUMILIA AWEKA PICHA AKIWA AMEKUMBATIWA NA MWANAUME NA KUANDIKA MANENO TATA..!! TAZAMA HAPA
Leo majira ya asubuhi msanii wa Bongo movie aliweka picha huku akiwa amekumbatiwa na mwanaume na kusema kuwa "nimemisi kumbatio la huba" kutokana na kauli hiyo wadau wameweka maswali mengi na kuuliza je huyu ndiye mume mtarajiwa wa Wastara au la. LADHAHALISI BLOG tunatafuta ukweli wa swala hili kisha tutalifikisha kwenu wadau wa Tovuti yetu.
Tazama picha hiyo hapo chini
Tazama picha hiyo hapo chini
Labels:
burudani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment