Mwili wa mmoja wa
marehemu ukishushwa kutoka katika mnara huo.
Askari wa Vikosi vya
Ulinzi na Usalama Kisiwani Pemba, wakiwa katika zoezi la kutoa miili ya marehemu
waliopoteza maisha katika ajali ya kuangukiwa na ukuta wa tanki la maji eneo la
Machomanne Chake Chake Pemba leo.
No comments:
Post a Comment