Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye
alivaa vazi lililoacha matako nje....
Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii
maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano
ya Redds Miss Tabora.
Tukio hilo la aibu
lilitokea mbele ya wabunge....


Mbunge wa Jimbo la Sengerema Bw.William Ngereja akiwa
na Diwani wa kata ya Kitete manispaa ya Tabora Bw.Daniel Mhina ambaye alikuwa MC
katika onesho hilo lililofanyika katika ukumbi wa Frankman Hotel mjini
Tabora.

Ommy Dimpoz akitokwa na machozi wakati akitumbuiza
jukwaani alipofikia hatua ya kumkumbuka marehemu msanii maarufu Mangwea.

Ommy Dimpoz alionesha kukubalika zaidi katika onesho
hilo

Mbunge Ngereja akiwa na mbunge wa vitimaalum mkoani
Tabora wakijaribu kucheza kwa pamoja muziki uliokuwa ukiimbwa na Ommy
Dimpoz.
Redds Miss Tabora
2013 Annastazia Donald(19)ambaye ni mwanafunzi wa Theofil Kisanji
University,kushoto ni mshindi wa pili katika kinyang'anyiro hicho Sabrina
Juma(18) kutoka chuo cha African Utalii na mshindi wa tatu ni Cornecia
Cossei(21)kutoka chuo cha Utumishi wa Umma Tabora.

No comments:
Post a Comment